Utalii Afrika

Utalii ni sekta muhimu ya kiuchumi kwa nchi nyingi barani Afrika . Kuna nchi nyingi ambazo zinafaidika sana na utalii kama vile Uganda, Algeria, Misri, Afrika Kusini, Kenya, Morocco, Tunisia, Ghana na Tanzania . [1] Umaalumu wa kitalii wa Afrika upo katika aina mbalimbali za vivutio, utofauti na wingi wa mandhari pamoja na urithi tajiri wa kitamaduni. Pia, tasnia ya utalii wa kiikolojia ipo katika baadhi ya nchi za Kiafrika (yaani Afrika Kusini, Kenya, Namibia, Rwanda, Zambia, Uganda, Msumbiji . . . ) [2]

  1. WhiteOrange. "Homepage". Ghana Tourism Authourity (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-09-03.
  2. Africa can Benefit from Nature-based Tourism in a Sustainable Manner

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne